Karibu!
Je, ukamilifu wa Tabia unawezekana katika maisha haya?
Karibu marafiki kwenye tovuti mpya ya Mkakati wa Uamsho.
Mpango huu unahusu kusoma Magombo
yote tisa ya Shuhuda kwa Kanisa.
Ni mzunguko wa kusoma Magombo Tisa ya Shuhuda kwa kanisa ambayo ni mashauri ya kuboresha tabia zetu na kutusaidia kuishi maisha bora kwani ni tabia tu,
ndiyo ambayo tutakwenda nayo mbinguni.
Tafadhali jiandikishe, ili uwe sehemu ya jumuiya ya kimataifa, inayopokea kurasa tano za mashauri haya
kila siku kwa miaka mitatu mfululizo.
Waweza kuweka iendane na mpango wa kusoma Biblia,
wa sura Moja kila siku.
Shuhuda zina kila hali inayosaidia tabia zetu kuwa kamilifu.
Tunakualika ujiandikishe sasa kupitia kiungo cha https://mkakatiwauamsho.com , ili upokee maandiko haya.
Tunafanya mpango wa kuyaweka kwenye sauti hivi karibuni.
Tunakutakia baraka tele kufikia lengo hili.
Maandishi haya yatabadilisha maisha yako, na kukuboresha, kiroho, kimwili, kiuchumi, na kijamii na kukufundisha
kuwa na tabia ya Masihi zaidi.
Unaweza kujifunza mashauri ya nyanja zote za maisha ya kila siku ambayo Mwenyezi Mungu anataka ujifunze na kuyatumia kivitendo.
Pastorul Ted Wilson introduce Planul de citire a Mărturii Pentru Comunitate la Consiliul de Primăvară.